Tuesday, October 14, 2014

Hot News!! WAPOTEZA MAISHA KWA KUTEKETEA KWA MOTO WAKIIBA MAFUTA USIKU WA KUAMKIA LEO.

TAARIFA zilizotufikia ni kwamba watu kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha kwa kuungua na moto uliolipuka wakati wakichota mafuta kutoka kwenye lori lililopata ajali usiku wa kuamkia leo eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mtu aliyekuwa eneo la tukio ni kwamba watu hao walikuwa wakiiba mafuta baada ya lori lililokuwa limebeba shehena ya mafuta kupata ajali kabla ya kulipuka na kusababisha maafa hayo.

Mpaka sasa bado idadi kamili ya watu waliopoteza maisha haijafahamika.

Taarifa zaidi kuhusu tukio hili zitawajia hivi punde.

ANGALIA PICHA MBALIMBALI ZA SHEREHE YA KUZALIWA MAPACHA WA MENGI.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top