Tuesday, September 9, 2014
Sikiliza AUDIO ya Wimbo mpya na wa kwanza wa Emmanuel Mbasha HAPA
Mpaka sasa wanandoa ambao ni Waimbaji wa nyimbo za Injili Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha hawajarudiana na kuendelea kuishi pamoja toka ianze kesi ya kubaka inayomkabili Emmanuel ambae inadaiwa alimbaka mdogo wa Flora.
Pamoja na kwamba kesi yake inaendelea, Emmanuel ametoa wimbo wake mpya wa ambao ndio huu unaoweza kuusikiliza hapa chini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment