Thursday, September 11, 2014

SASA HII SIJUI MILUNGI SIJUI??? CHEKI JUSTIN BIEBER ALIVYOVUA NGUO LIVE AKIWA JUKWAANI.

Mwimbaji Justin Bieber amejitoa ufahamu wakati akiwa katika show ya mitindo iliyokuwa ikirushwa Live kwenye TV, Jumanne, September 9 na kuchojoa nguo mbele ya kadamnasi.

Bieber alifika jukwaani ambapo watu wengi walihudhuria, na alipofika alimwambia Lara Stone kuwa hajisikii huru hadi avue nguo zote.

Sekunde chache baadae alianza kuvua nguo moja moja hadi alipobaki na nguo ya ndani pekee aka boxer.

JOHARI AZIDI KUTESEKA JUU YA PENZI LA RAY!

Show iliendelea na Bieber alionesha mwili wake akiwa ndani ya vazi hilo la ndani tofauti na matarajio ya wengi na Lara Stone aliendelea naratiba kwa kumpandisha jukwaani Rita Ora

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

RICHARD KIEL 'MENO YA CHUMA' WA JAMES BOND AFARIKI DUNIA.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top