MWIGIZAJI wa Marekani, Richard Kiel aliyecheza filamu za James Bond akiwa na meno ya chuma amefariki dunia akiwa na miaka 74 jijini California.
Richard Kiel (kulia) akimkaba Roger Moore katika filamu ya 'The Spy Who Loved Me'.
JOHARI AZIDI KUTESEKA JUU YA PENZI LA RAY!
Kiel amefariki akiwa Kituo cha Afya cha Saint Agnes Fresno jijini California nchini Marekani alipokuwa akitibiwa.Richard, mwezi Mei 2013 jijini London.
Kifo chake kimekuja ikiwa ni wiki moja baada ya kuvunjika mguu wake.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment