Mkongwe wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akifanya makamuzi ya hatari ndani ya Leaders Club.
Unaposikia Sh wako anatamka "NIKWAMBIE KITU"; Mzuge asikwambie Ukimruhusu Tu atasema Hivi ......
Dimpoz Kulia akimbambia Vanesa MdeeRich Mavoko akiwarusha mashabiki na wimbo wake wa 'Roho Yangu'.
UMEIPATA HII YA Canadian Millionaire KULIPIA $80,000 ili Kumkiss Mdomoni Elizabeth Hurley. Hii HAPA
Vanessa Mdee na wanenguaji wake wakiwachizisha mashabiki wa Kili.Mwanamuziki wa RnB, Ben Pol akizikonga nyoyo za mashabiki wa Kili.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment