Thursday, September 11, 2014

PICHA MBALIMALI ZA MKUTANO WA Balaza la Vijana Chadema (BAVICHA) Hizi hapa.

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho. (Picha zote na Francis Dande)

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kulia) akiwaongozi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema kuimba wimbo wa taifa wakati wa mkutano huo.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), ambaye amemaliza muda wake,  John Heche akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa baraza hilo.


Baadhi ya watu wakinunua fulana za Chadema wakati wa Mkutano Mkuu wa Bavicha.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa katika mkutano huo.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiimba nyimbo za kuhamasisha chama

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top