Thursday, September 11, 2014
Browse » Home »
dondoo
» Nabii Tito Aja na jingine; Asema KUZAA NA MSICHANA WA KAZI au HOUSE GIRL SIO DHAMBI Msikilize Dr.Isack Maro na Anti Sadaka wakimjadili hapa.
Nabii Tito Aja na jingine; Asema KUZAA NA MSICHANA WA KAZI au HOUSE GIRL SIO DHAMBI Msikilize Dr.Isack Maro na Anti Sadaka wakimjadili hapa.
Kama uliiskiliza Hekaheka ya jana ambayo ilikua ikimhusu Nabii mmoja aliyejipa jina la Nabii Tito anayepatikana maeneo ya sinza,ambapo mahubiri yake yako tofauti na maagizo anayofundisha Mungu kwenye vitabu vyake.
titoMiongoni mwa mambo ambayo aliyazungumza na kuwashangaza watu ni pale alipodai kunywa pombe sio dhambi na hata kuzaa na msichana wako wa kazi yaani House Girl ni ruksa.
HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment