Kila siku vituo mbalimbali vikubwa vya TV Afrika hupokea mamia ya video za Wasanii kutoka nchi mbalimbali za bara hili kwenye kipindi hiki ambacho video zimekua ni ushindani mkubwa mpaka wengine kutumia mamilioni ya pesa kuziandaa tu.
Nigeria bado imekua nchi inayoongoza kwa video zake kuchezwa kwenye TV mbalimbali ambapo kwenye playlist ya leo nimekutana na hii pia ya ‘shake body’ ya Skales ambayo ni miongoni mwa zinazochezwa sana
vvvvvvvvvv
HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment