Tuesday, September 23, 2014

DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA VIDEO kali ya bongofleva iliyofanywa nyumbani kwa Rais Paul Kagame Rwanda.

Hussein Machozi amesema alipata nafasi ya kuifanya video hii kwenye nyumba ya Rais Paul Kagame kirahisi sababu producer wa hii single ni Mrwanda na hata yeye mwenyewe Hussein ana asili ya Rwanda kwa upande wa mama mzazi, hivyo vyote vimesaidia kwake kupata nafasi hiyo.

Rais Paul Kagame ambae ni miongoni mwa Marais wanaopenda sana kuwasaidia vijana ambae pia ana rekodi za kusaidia hata Wasanii wa nchi yake, huwa haishi kwenye hii nyumba bali familia yake.

President Kagame aliwahi pia kumsaidia mmoja kati ya Wasanii vijana wa Rwanda lakini mwaka huu msanii huyo ameingia kwenye kashfa ya kutaka kuipindua nchi ikiwemo kumpindua madarakani Rais Paul Kagame mwenyewe.

Screen Shot 2014-09-23 at 8.59.22 AMUkishaitazama hii video mpya ya Hussein Machozi hapa chini unaweza kuacha maoni yako ili jioni saa moja akiingia akutane na comments za mashabiki wake.



Kola Boof boasts about having S€X with Gerald Butler and Mike Tyson.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top