Friday, August 15, 2014

WASTARA AZINDUA FILAMU YAKE MITAANI DAR NA KUSIMAMAMIA MAUZO YA CD MWENYEWE.



Wastara akiandika kopi za filamu hiyo zilizokuwa zikitoka.

Mashabiki wakimshangaa Wastara.

Hawa ni mashabiki waliojitokeza Mbagala.

Washiriki timu ya Wastara wakiwa wameshikilia CD za filamu hiyo.


Wacheza shoo wakinengua katika jukwaani ndani ya gari la matangazo.

MSANII wa filamu Bongo, Wastara Juma, jana alifanya uzinduzi wa aina yake wa filamu yake inayokwenda kwa jina la Last Decision ambapo alizunguka katika mitaa mbalimbali akiinadi huku wakazi kibao wa jiji la Dar wakijitokeza kumsapoti.

Wastara ambaye alifuatana na timu yake iliyokuwa ikiburudisha mashabiki kwa muziki, alianza kuzindua filamu hiyo kwa kuiuza mitaa ya Kigogo, Mbagala, Kwa Azizi-Ally na Tandika ambapo watu kibao walijipatia nakala zao.

BABY MADAHA APONEA CHUPU CHUPU KUBAKWA.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

PICHA NA VIDEO ZA SHILOLE AKIWA MZIWANDA KITANDANI ZAVUJA MTANDAONI, JIONEE MWENYEWE HAPA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online