
Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura, akizungumza na wana habari katika ofisi za TFF jijini Dar es Salaam.
Wanahabari wa michezo wakimsikiliza Wambura.
SHIRIKISHO la Soka nchini (TFF) limeandaa mechi nne katika viwanja vine tofauti nchini ili kufanya majaribio ya uuzaji wa tiketi za elektroniki ili zitumike msimu huu wa Ligi Kuu Bara.
Ofisa wa Habari wa TFF, Boniphace Wambura, amesema wameandaa mechi hizo ili kuwapa nafasi mashabiki kujifunza na kuujua mfumo huo na pia kutoa mafunzo kwa wahusika kutoka timu shiriki za Ligi Kuu Bara.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment