NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa wanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni.

Rais Jonathan akitumia kitambulisho chake kwenye ATM.
Baada ya uzinduzi huo, imebainika kwamba Wanaigeria wote watapaswa kuwa na kadi hiyo mpaka kufikia mwaka 2019 endapo watakuwa na haja ya kupiga kura.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment