Gazeti la Tanzania Daima August 19 2014 limeripoti kwamba Mwenyekiti
wa bunge la katiba Samwel Sitta sasa hivi ameongezewa ulinzi ili
kuhakikisha anakuwa salama zaidi kila anapokwenda.
Kaongezewa walinzi wawili wanaokuwa nae kila anakokwenda lakini
pamoja na hilo, ameongezewa gari jingine ambalo linatumika kumbeba mmoja
wa Walinzi wake.
Photos of Brenda Wanjiru: President UHURU Kenyatta’s HOTT Female BODYGUARD.

Kwenye moja kati ya sentensi nyingine kubwa kutoka kwenye Magazeti ya
Tanzania leo August 19 2014, ni hii ya gazeti la Uhuru inayosema
Mtandao hatari wa kusafirisha Watoto kwenda nje ya nchi umebainika baada
ya Polisi kuzima jaribio la kutoroshwa Watoto 13 mkoani Tanga.
Watoto hawa walikua wakivushwa kwenda Kenya na hata wazazi wao
hawakuwa na taarifa huku ikiripotiwa walikua wakipelekwa kwenye kituo
cha Kiislam kutumikishwa nchini humo.
HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment