Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng.
Mwanamitindo raia wa Sudan aishie Marekani, Ataui Deng aliyepotea kwa muda wa wiki mbili huku akitafutwa na polisi amekutwa akiwa hai katika hospitali moja New York.
School Teacher aged 32, had sex twice with 13 year pupil and sent him sexually explicit pictures.
Marafiki wa mwanamitindo huyo walitoa taarifa polisi na kuanzisha kampeni maalum ya kumtafuta baada ya kushindwa kumpata kwa kipindi kirefu, kampeni ambayo iliungwa mkono na watu maarufu akiwemo Rihanna.
Hakuna taarifa rasmi zilizotolewa kuhusu hali ya Autui hadi sasa.


0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment