Saturday, August 9, 2014

MSANII DEVOTHA APATA PIGO KUBWA BAADA YA NYUMBA YAKE KUTEKETEA KABISA KWA MOTO.

MSANII wa filamu aliye pia katibu msaidizi wa Bongo Movie Unity, Devotha Mbaga amepata pigo la baa yake kuteketea kabisa kwa moto.

Msanii wa filamu aliye pia katibu msaidizi wa Bongo Movie Unity, Devotha Mbaga

Akizungumza kwa njia ya simu Devotha alisema wakati ajali hiyo inatokea hakuwepo kwani yupo nje ya Jiji la Dar ambapo alipata taarifa kutoka kwa wafanyakazi wake kwamba baa yake hiyo iliyopo maeneo ya Kigamboni iliteketea kwa moto.

Yaliyomkuta Agnes Masogange ndani ya uwanja wa ndege Juzi HAYA.



“Ukweli imeniuma sana kwani kila kitu kimeteketea na kwa mujibu wa mashuhuda hao, moto huo umetokana na shoti ya umeme na ilitokea Jumamosi iliyopita mchana hata sielewi niseme nini maana vyote vilivyoteketea vina thamani ya milioni kumi na nane,” alisema Devotha.


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA. 

KATANGAZE: Aunt Ezekiel Afumaniwa na Dansa wa Diamond Ambaye ni Mme wa Mtu waki Du Nyumbani Kwa Wema Sepetu.

 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top