Friday, August 8, 2014

NISHA: WATU WANIZUSHIA NINA MIMBA, MIE SINA BHANA.



MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amepangua madai kuwa ni mjamzito na kudai ni maneno ya ya watu licha ya kwamba ukikiangalia kwa makini kitumbo chake unaweza kuhisi kuna kitu ndani.


Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’

Akizungumzia madai hayo na kwamba ndicho kinachomfanya asijichanganye na wenzake kama kawaida, Nisha alisema kutoonekana kwake ni maamuzi tu.
(+18)DENTI WA CHUO AVUJISHIWA PICHA ZA UTUPU, BAADA YA KUJISAHAU NA KUMPA JAMAA FLASH YENYE GROUP WORK.
“Eti nina mimba! Mh…nashangaa sana, sijui watu wanatoa wapi hayo maneno, mimi sina mimba na nilikuwa sionekani kwa sababu nilisafiri, pia mwezi mtukufu huwa sitoki hovyo, nikiamua kuzaa watu wataniona tu,” alisema Nisha.


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top