Friday, August 22, 2014

MAKALIO YA AUNTY LULU YASABABISHA AJALI MBAYA KWA MADEREVA.


MSANII wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na makalio yake makubwa, anapokuwa anatembea barabarani husababisha ajali kwani baadhi ya madereva wakware hukosa umakini kwa kumkodolea macho.

ISSUE ZA MADAWA YA KULEVYA: DIAMOND KIMENUKA MBAYA; NZOWA ASEMA AMA ZAKE AMA ZAO.


Msanii wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’

Akizungumzia makalio yake na matiti anayodaiwa kuyabusti kwa dawa za Kichina, Aunty Lulu alisema: “Unajua umbile langu linawachengua sana baadhi ya wanaume, achilia mbali hilo la kusumbuliwa, wapo baadhi ya madereva ninapokatiza barabarani hunikodolea macho na kushindwa kuwa makini


‘Aunty Lulu’ akiangusha pozi hatari.

“Matokeo yake baadhi hugonga magari mengine na wengine hujikuta wakipeleka magari yao pembeni bila kujijua na kupata ajali, uroho wao unawaponza.”







HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

DEREVA BODABODA AMNG’ATA MWENZAKE MDOMO NA KUONDOKA NAO.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top