Thursday, August 21, 2014

Inadaiwa OMMY DIMPOZ amemsusa demu wake wa ulaya na Kuhamia kwa JOKATE.

 paparazi leo mezani tumepata story ya muda mrefu ya Penzi la siri kati ya Ommy Dimpoz na Jokate akaKidoti.

stori hii ilivuja baada ya beef la chini kwa chini kati ya Jokate na mwimbaji mmoja wa kike ambae hawana maelewano mazuri na chanzo kikidaiwa kuwa ni mwanamuziki huyu wa kike (jina lake linaanzia na herufi V)
kukuta meseji za Mapenzi kati ya Mpenzi wake huyo na dada yetu kidoti.

American journalist James Foley beheaded by 'British' jihadist in horrific Islamic State video.

Chanzo kinasema kidoti na Ommy Dimpoz walianza mapenzi ya siri kwa siri baada ya dada huyo kuachana na diamond.

Mapenzi hayo yalianzia huko mikocheni A ambapo Ommy Dimpoz alikwa akiishi nyumba ya kushare na kila bibie kidotialipokuwa akienda hapo watu walimuona na kuna kipindi dada yetu kidoti alikuwa akiminya ndani ya gari bila kushuka mahaba yakiwa tele kwenye gari hilo.

sasa wataalamu wa mambo wanasema dada yetu huyu anaonekana sana maeneo ya kinondoni katika mjengo wa kupanga wa star huyu wa ndagushima chande na mapenzi yao bado inasemekana yanaendelea chini kwa chini lakini nje nje.

ommy dimpoz ameingizwa kwenye list ya wanaume walio na mapenzi ya siri na dada yetu kidoti.

DEREVA BODABODA AMNG’ATA MWENZAKE MDOMO NA KUONDOKA NAO.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

Angalia hapa Video Tamu na Mpya Kabisa ya Nicki Minaj ANAKONDA.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top