Wednesday, August 6, 2014

Majibu ya Davido kuhusu beef lake na Wiz Kid Haya HAPA.

Kwenye internet kulikuwa na tetesi kuhusu Wiz Kid na Davido wapo kwenye beef. Tetesi hizo zilichangiwa sana na post za wasanii hawa kwenye social media ikionyesha kwamba kama kila mtu anajaribu kupiga kijembe mwenzake japokuwa hakuna aliyewai kumtaja mwenzake moja kwa moja.

Davido akiwa kwenye tour zake anazofanya Marekani amekutana na Sahara TV ambao wamemuuliza kuhusu hilo beeef kati yao. Hili ndilo jibu lake. MSIKILIZE HAPO CHINI


Aunt Ezekiel Afumaniwa na Dansa wa Diamond Ambaye ni Mme wa Mtu waki Du Nyumbani Kwa Wema Sepetu.




Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top