Wednesday, August 6, 2014

Agnes Masogange Azuiliwa Tena AirPort kwa Mda; Kisa ni Kuhisiwa na mzigo kama aliokutwanao South.

Video model Agnes Masogange mwaka jana alitawala vyombo vya habari baada ya kukamatwa na polisi huko South Africa akiwa na mwenzake Melisa Edward wakiwa na mzigo wa Crystal Methamphetamine wenye thamani ya Tsh bilioni 6.8.

Taarifa mpya kutoka kwa kamanda wa polisi kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya Gedfrey Nzowa inasema kikosi hicho kilimshikilia Masogange usiku wa juzi baada ya kurejea akitokea South Africa. Taarifa inasema kwamba Masogange alihojiwa kwa zaidi ya masaa 10 na kupekuliwa na baadae kuachiwa hutu bila masharti.

Aunt Ezekiel Afumaniwa na Dansa wa Diamond Ambaye ni Mme wa Mtu waki Du Nyumbani Kwa Wema Sepetu.


Masogange alivyotafutwa kwenye simu alijibu kwa kifupi na kusema,”Hilo unalosema siyo kweli na sipo tayari kuzungumzia. Siwezi kuzungumza na chombo cha habari kwa sasa, shida yako nini”.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Source : Mwananchi

ISOME NA HII Ona hapa kilichofuata baada ya huyu secretary kumvalia bosi kivazi cha ajabu.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top