Wednesday, August 13, 2014

JOKATE HUYOO KUELEKEA BONGOFLEVA.

 MWANAMITINDO maarufu ambaye aliwika na lebo ya Kidoti, Jokate Mwengelo juzikati aliamua kujizamisha rasmi kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kupanda kwa mara ya kwanza katika Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, akiwa na madensa wake.


Mwanamitindo maarufu ambaye aliwika na lebo ya Kidoti, Jokate Mwengelo.

CHANGAMKIA VIDEO NA PICHA ZA MREMBO ALIYELEWESHWA POMBE NA KUFANYIZIWA MAMBO YA......

Ishu hiyo ilitokea usiku wa kuamkia Agosti 10 mwaka huu ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, ambapo Jokate ‘aliwa-suprise’ mashabiki akiwa anajiamini akiimba na kutawala steji.Kwa muda wote akiwa jukwaani, mwanamitindo huyo alicheza staili sambamba na wanenguaji wake pasipo kupotea hata mara moja kama vile alianza zamani kuimba.

PICHA NA VIDEO ZA SHILOLE AKIWA MZIWANDA KITANDANI ZAVUJA MTANDAONI, JIONEE MWENYEWE HAPA.

“Nina kipaji cha kuimba, na ndiyo maana nimekuwa nikiimba kanisani siku zote, muziki naupenda sema mwanzo nilishindwa kwenda na mambo mawili kwa wakati mmoja, ila sasa ndiyo nimezindua rasmi harakati za muziki na siku chache zijazo nitaachia video ya wimbo wangu nilioimba leo,” alisema Jokate.

Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA. Ona hapa kilichofuata baada ya huyu secretary kumvalia bosi kivazi cha ajabu.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online