Thursday, August 14, 2014

HIZI NI BAADHI TU YA TUZO AMBAZO DIAMOND PLATNUMZ AMECHUKUA.


Diamond Platnumz a.k.a Dangote hapo jana aliandika na kuweka picha za tuzo zake ambazo amechukua mpaka sasa Diamond msanii anaye iwakilisha Tanzania vizuri  alifunguka haya kwe mtandao wake wa facebook kuwa.


" Kama kweli una macho mazuri heb niambie hizo ziko ngapi....? dah! ila bado naikumbuka tunzo yangu moja iloibiwaga zamani...watu bwana, eti naskia waliambiwa na mganga ili mimi nishuke waniibie tunzo yangu moja halaf waipeleke kwake...

KHAA MOKO LAKI SI PESA;Njemba yakojoleshwa Live Ukumbini Picha za tukio hizi hapa.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

PICHA NA VIDEO ZA SHILOLE AKIWA MZIWANDA KITANDANI ZAVUJA MTANDAONI, JIONEE MWENYEWE HAPA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top