Friday, August 15, 2014

PICHA YA MUME WA FLORA MBASHA NA MSANII WA BONGO MOVIE ZATUA MZOZO.

Msanii wa bongo movie anayejulikana kwa jina la Irene Paul amepost picha akiwa na mume wa Flora Mbasha na kuzua minong'ono miongoni mwa mashabiki ambao wengi wameenda mbali na kudai kuwa wawili hao ni wapenzi kwa sasa na hasa wakichelea matatizo yz ndoa ya Mbasha. Hata hivyo Irene Paul hakuweza kuwajibu mashabiki wake hivyo wengi kubaki njia panda!

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top