Thursday, August 14, 2014
Browse » Home »
news
» Toleo jipya la gar aina ya Bugatti Hili Hapa na kulipata moja ni zaidi ya Tsh bilioni 5.
Toleo jipya la gar aina ya Bugatti Hili Hapa na kulipata moja ni zaidi ya Tsh bilioni 5.
Bugatti ni moja ya magari machache yenye gharama kubwa sana duniani
ambayo mara nyingi humilikiwa na watu wenye kipato kikubwa tu ambapo
kampuni inayotengeneza magari hayo imetoa matoleo matatu ya lengend
edition na hii ya sasa hivi ndiyo ya mwisho kwenye edition hii.
Toleo hili la tatu yatatengenezwa magari matatu tu ambayo kila moja litauzwa kwa $3.14 million.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment