Saturday, August 16, 2014

English Premier League EPL imeeanza na Match ya Kwanza leo imemalizia kwa Matokeo ya Man Utd 1-2 Swansea City.

Magoli yakifungwa na : Ki Sung-Yueng 28' na Gylfi Sigurdsson 73' kwa upande wa Swansea Huku goli pekee la kwa Man Utd ni Wayne Rooney (MU) 53';

Vikosi vilikuwa 

Manchester United: De Gea, Jones, Smalling, Blackett, Lingard (Januzaj 24'), Fletcher, Herrera (Fellaini 67'), Young, Mata, Rooney, Hernandez (Nani 46')

Swansea City: Fabianski, Rangel, Amat, Williams, Taylor (Tiendalli 54'), Ki, Shelvey, Dyer (Montero 67'), Sigurdsson, Routledge, Bony (Gomis 77')


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top