Monday, August 11, 2014

Cheki hapa Wimbo mpya na kipande cha video kutoka kwa Dj Khaled ft Chris Brown.

DJ Khaled ametoa wimbo mpya ambao amefanya collabo na Chris Brown, August Alsina, Jeremih pamoja na Future. Wimbo huu utakuwa kwenye album mpya ya DJ Khaled inayoitwa I Changed A Lot.

Sikiliza wimbo na angalia kipande cha video yake.

Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top