Tuesday, August 12, 2014

NAY ATAJWA KUWA NI KIKWAZO KUHALALISHA NDOA YA WEMA SEPETU NA DIAMOND.


IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asishuke kimuziki.

Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’

Ushauri huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye amekuwa na ndoto ya kuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo wake wa Mdogomdogo.

Wema Sepetu akiwa na mpenzi wake 'Diamond Platinum'.

Akifafanua zaidi kuhusiana na ushauri huo, Nay alisema: “Kuna mifano mingi sana nimeiona kutoka kwa wasanii ambao wameoa, wengi wao wameshasanda sasa mdogo wangu (Diamond) na yeye alipoleta hoja ya kutaka kuoa nikaona sasa anatafuta shimo la kwenda kujifukia, nikamshauri aache.”

DADA YAKE DIAMOND NAE AANZA KUUZA SURA MITANDAONI MCHEKI HAPA.




Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA. 

MTOTO ANUSURIKA KUBAKWA KIBAHA; MTUHUMIWA ATOA ELFU 20000/= KUYAMALIZA.

 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top