Wednesday, August 13, 2014

Angalia Hapa Video ya Magoli aliyofunga Cristiano Ronaldo katika Mechi ya UEFA Super Cup ya Real Madrid 2-0 Sevilla.

Jana kulikuwa na mchezo wa UEFA Super Cup kati ya mabingwa wa UEFA Europa League – Sevilla dhidi ya mabingwa wa UEFA Champions League – Real Madrid, mchezo amba ulipigwa jijini Cardiff, Wales.

Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa 2-0 kwa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akifunga magoli yote mawili na kuandika rekodi nyingine kwenye soka barani ulaya.

Magoli hayo ya Ronaldo yamemfanya atimize jumla ya magoli 70 kwenye michuano ya ulaya na hivyo kumpita Messi ambaye ana jumla ya magoli 68. CHECK VIDEO BELOW
Real Madrid vs Sevilla 2-0 by Mylife1971


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top