Wednesday, August 20, 2014
Angalia hapa Video Tamu na Mpya Kabisa ya Nicki Minaj ANAKONDA.
Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj ni staa aliezaliwa miaka 31 iliyopita kutoka kwa mama mwimbaji wa nyimbo za injili aitwae Carol na Baba Robert Maraj, mwenye sifa ya utumiaji dawa za kulevya na aliewahi kutaka kumuua Mama Minaj kwa kutishia kuchoma moto nyumba yao.
Nicki ni staa kutoka kwenye familia ya kawaida tu kiuwezo lakini muziki wake umebadilisha maisha yake na ya familia ambapo kwenye mfululizo wa kuzitoa nyimbo zake, anatukutanisha na hii video yake mpya.CHEKI HAPO CHINI
HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment