Wednesday, July 2, 2014

Wizzy Khalifa akosa Mbonji siku 3 Mfululizo baada ya mke wake Amber Rose kumtamanisha Billionare Kimahaba.


Inasemekana Billionare huyu alihudhuria Show moja wa Amber na baada ya Amber kumwona akamfanyia ishira ya kimahaba naye akaingia mzigoni sasa anamtaka.
 Mdada huyu mwenye 30 years of age anatakwa na Billionare huyo kutoka jiji la North Calolina(Jina tumehifadhi)baada ya kumwona anadhidi kuwa mzuri kila kukicha.

Kutokaana na Hela alizonazo chochote kinaweza Tokea hali inayomfanya Khalifa kutolala usingizi. Icheki na Hiyo hapo chini alafu toa maoni yako

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top