Thursday, July 3, 2014

WAZIRI WA ZAMANI WA KENYA AWAACHA WATU MIDOMO WAZI BAADA YA KUMLA MATE MKEWE UWANJA WA NDEGE.


hii ilitokea juzi wakati laila odinga ambaye kwa sasa anaishi Boston alipokwenda kumpokea mke wake ambae alikwenda kumuona, wawili hao walibusiana kama vijana wa miaka 18 na kuwaacha abiria walioudhuria  kwa ajili ya safari mbalimbali wakiwa midomo wazi.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top