Monday, July 7, 2014

UTEKELEZAJI UMEANZA; RIDHIWANI AKABIDHI VITANDA 167 VYA SHULE JIMBONI KWAKE CHALINZE.

 Ridhiwani akimkabidhi vitanda  50 Mwalimu Emmanuel Kahabi kwa ajili ya shule ya Chalinze. Kushono ni Abubakari Mlawa wa Kampuni ya MM Steel iliyotoa vitanda hivyo


 Mbunge wa Chalinze, mkoa wa Pwani, Mtoto wa Rais, Ridhiwani Kikwete, akijaribu kimoja kati ya vitanda 267, kabla ya kuvigawa kwa shule saba za jimboni Chalinze, katika hafla iliyofanyika jana, kwenye shule ya Sekondari Lugoba jimboni humo.

Shule zilizopewa vitanda hivyo vikiwa na magodoro yake, idadi ya vitanda ilivyopata ikiwa kwenye mabano ni; Chalinze (50), Moreto (50), Mandera (25), Talawanda (24), Kiwangawa (50), Lugoba (38) na Kikaro (30).

Kwa mujibu wa Ridhiwani mgawo huo ni wa awamu ya kwanza.

 Abdalla Sakasa wa Lugoba- akikabidhiwa vitanda vitanda 38

 Charles Mussa wa Talawanda- vitanda  24

 Justin Nguma wa Moreto  vitanda 50

 Omari Msami wa Kikaro-vitanda 30

 Rose Umila wa  Mandera Girls vitanda 25

 Saidi Ally wa Kiwangwa akipongezwa na wadau baada ya kupata vitanda 50.

 Ridhiwani akifurahi na wanafunzi wa shule ya Talawanda baada ya kukabidhi vitanda kwa mwalimu wa shyle hiyo (kulia)

 Mgawo awamu ya kwanza

 Ridhiwani akizungumza na wadau kueleza mikakati mbalimbali ya kukwamua maendeleo ya jimbo la Chalinze, ambapo alieleza kuwa miongoni mwa vipaumbele ni huduma za umeme ambapo italetwa Transfoma itakayowezesha jimbo hilo kupata umeme wa uhakika, afya na elimu


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online