Monday, July 7, 2014

MAMIA WAMIMINIKA MAONYESHO YA SABA SABA DAR.

 Mbwa aitwaye Kambi wa Jeshi la polisi aliyefundishwa kukamata waharlfu.

Baadhi ya wananchi waliokuwa viwanja vya maonyesho.

Wanamuziki wa bendi ya Mpoto.

Koplo  Watanda  (kulia) akitoa maelekezo kwa mwandishi wa Global Publishers  kuhusu matumizi na matunzo ya farasi walio nao katika jeshi la polisi.

Mchezo wa nyoka toka kwa kikundi cha Mpoto uliwavutia watu wengi kwenye  PSPF.

MAONYESHO ya 38 ya biashara ya kimataifa ‘Saba Saba’ yamewavutIa watu wengi kutokana na bidhaa, huduma na michezo inayoonyeshwa katika viwanja husika vilivyoko Mtoni, Dar es Salaam. Mbwa aitwaye Kambi wa Jeshi la polisi aliyefundishwa kukamata wahalifu.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top