Mahakama ya haki za binadamu
barani Ulaya imeamrisha kuendelea kutekelezwa hukumu ya kupiga marufuku
vazi la hijab linalofunika uso mzima nchini Ufaransa.
Kesi hiyo iliwasilishwa na mwanamke mmoja mwenye
umri wa miaka ishirini na nne raia wa Ufaransa ambaye alidai kuwa
marufuku hiy inakiuka haki zake za kuabudu na kujieleza.<
Sheria hiyo iliwekwa nchini Ufaransa miaka minne iliyopita na tangu hapo Ubelgiji imeiga.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment