Machar kwa sasa anaongoza vita vya upinzani dhidi ya serikali ya Rais Kiir. Anasema kuwa anapigania mageuzi wala sio kutaka wadhifa katika utawala wa sasa.iek Machar ameiambia BBC kuwa mfumo huo unastahili kufaidi kila mtu Nchini humo na kuonyesha kuwa nchi hiyo ina demokrasia
Mwezi uliopita serikia na waasi walikubalina kuunda seriali ya umoja wa kitafa katika kipindi cha siku sitini.
Lakini baada ya kuulizwa ikiwa hilo litafanyika bwana Machar alikataa kujibu.
Sudan Kusini ilipata uhuru miaka mitatu iliyipita lakini mwaka uliopita ilitumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment