Monday, July 14, 2014

AUNT EZEKIEL:SINA GUNDU NA WANAUME MIMI.

 Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli.

Baada ya maneno hayo kutua katika dawati la Ijumaa Wikienda, wanahabari wetu walimsaka Aunt ili kumsikia anazungumziaje taarifa hizo ambapo alitiririka:“

MWONE HAPA MREMBO ALIYEVULIWA NGUO MARA BAADA YA KUFUMANIWA NA MME WA RAFIKI YAKE



Sina gundu na wanaume jamani, uzuri ni kwamba kila niliyeishi naye kulikuwa na sababu za msingi za kuachana. Siyo Jack Pemba wala Hartmann (Mbilinyi). “Watu wanazungumza tu bila kujua ukweli, hata kwa Sunday Demonte (mumewe wa sasa), yupo vizuri na hajafungwa kama wanavyosema,” alisema Aunt.

Miongoni mwa wanaume walioogelea katika penzi la Aunt kisha kumwagana kwa sababu tofuati ni pamoja na Mwilu Mwilola ‘Silvanus’, Hartman na Jack Pemba div align='center'>

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top