Friday, July 4, 2014

January Makamba : ‘Kuna Asilimia 90% ya mimi kugombea Urais 2015′, Cheki Video hapa.

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba

amesema hadi sasa uamuzi wake wa kugombea Urais mwaka ujao umefikia asilimia 90. Akihojiwa na mshindi wa tuzo za watu kwenye kipengele cha mtangazaji wa runinga anayependwa, Salim Kikeke kwenye kipindi cha Dira ya Dunia cha BBC Swahili, Makamba amesema kuna mambo ya kujiuliza kabla ya kuamua kuchukua uamuzi huo.

Mtazame hapa.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top