Monday, July 21, 2014

Inasemekana Baada ya kauli ya Ally Kiba huu ni ujumbe WA MAJIBU kutoka kwa Diamond.

 Wiki iliyopita kupitia mitandao ya kijamii zilitoka stori ambazo zilizanzia kwenye 255 ya Clouds Fm ambapo aliulizwa Ally Kiba juu ya uhusiano na msanii mwenzake Diamond Platnumz.

Usiku wa kuamkia July 21 Diamond Platnumz ameandika ujumbe ambao mashabiki wengi wa muziki wa Bongo Fleva wameutafsiri kama majibu juu ya kile alichokisema Ally Kiba wiki iliyopita.


Katika ujumbe huo ambao Diamond kapost kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kaandika’Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke,Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa mengine ili nilete sifa na heshima nchini kwetu’.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top