Monday, July 21, 2014

RIYAMA: MCHUMBA NINAYE LAKINI SIKO TAYARI KUOLEWA.

STAA aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally amesema licha ya kuwa ana mchumba lakini hayupo tayari kuolewa kwa sasa.


Staa aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally katika pozi.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Riyama alisema hahitaji kuolewa kwa sasa kutokana na kushuhudia ndoa nyingi za mastaa zikivunjika, hivyo anahitaji muda mwingi wa kufikiria juu ya mtu wa kuingia naye kwenye ndoa.


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

“Nitaolewa baada ya moyo wangu kuwa tayari kwani ndoa si jambo la kukurupuka, lazima uwe na mtu sahihi,” alisema Riyama.

SHILOLE Akataliwa Ukweni na Ndugu za Boyfriend wake wakidai ana Umri Mkubwa kuliko Ndugu yao.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top