Saturday, June 14, 2014

Ukisikia HUMILIATION ndo hii ya leo Full Time Spain 1-5 Netherlands.Robben na RVP wamdouble Casillas.

Hama kweli mpira hauna adabu kwani pamoja na mechi ya Spain VS Netherlands kuvutia sana manake ilikuwa kama fainali ndogo.

ROBBEN na Van Persie wamefanya maajabu kwa kutupia mawili kila mmoja.
PAMOJA NA YOTE MECHI HII IMEONYESHA KIWANGO CHA HALI YA JUU YA SOKA YAANI MASHABIKI WAMESIKITISHWA SANA KUONA REFAREE ANAPULIZA KIPENGA CHA MWISHO KWANI WALITAMANI WAENDELEE KUANGALIA.

magoli ya Netherlands yalifungwa na     R. van Persie 44', 72',A. Robben 53', 80',S. de Vrij 64'
huku lile la Spain lilifungwa na
Xabi Alonso 27'.

Baadae kidogo NTAKUPDATE MECHI YA CHILE VS AUSTRALIA


Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top