Wednesday, June 18, 2014

RIHANNA ni kama amempa ruksa Kevin-Prince Boateng Mchezaji wa Ghana kumtokea kama anataka vile.

 Rihanna anamzimikia mchezaji wa Ghana, Kevin-Prince Boateng.
Kupitia Twitter, Rihanna alisema kuwa kutokana na mchezaji huyo anayekipiga pia FC Schalke 04, alijikuta akiwa shabiki wa Ghana ilipokuwa ikicheza na Marekani jana.
Hata hivyo huenda Riri aliangushwa na timu hiyo baada ya kufungwa bao 2-1.
 

Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top