Wednesday, June 18, 2014

Mama aliyetupa kichanga kwenye shimo la taka Njiro jijini Arusha akamatwa.

 Mwili wa kichanga.

Mama anayedaiwa kutupa kichanga akiwa na mwanae wa kwanza.

Difenda la polisi likiwa eneo la tukio kuchukua mtuhumiwa na mwili wa
MWILI wa kichanga umeokotwa eneo la Njiro jijini Arusha juzi baada ya kudaiwa kutupwa na mama mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja.

Baada ya kichanga hicho kuokotwa, wananchi walitoa taarifa polisi waliofika na kufanikiwa kumkamata mama mwenye kichanga hicho. Video ya tukio hilo hii hapa

Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top