Browse »
Home »
matukio
,
news
,
siasa
» Msongamano wa watu kwenye interview ya uhamiaji jana Uwanja wa Taifa utadhani kuliwa na mechi vile.
Msongamano wa watu kwenye interview ya uhamiaji jana Uwanja wa Taifa utadhani kuliwa na mechi vile.
Wakazi wa maeneo jirani walidhani kuna mechi kwani idadi ya watu ilikuwa ni kubwa kiasi cha haja.
Hizi ni picha chache zimepigwa kwenye kisimu cha mchina so haziko fresh sana ila ndo hivyo unaambiwa kiasi cha watu 10000 waliitwa kwenye INTERVIEW.
Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu
CREDIT
http://mzalendohuru.blogspot.com/
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment