
Kwa kweli kama timu za Africa zitaonyesha kiwango ambacho Ghana amecheza leo basi bila shaka kombe la 2018 waAfrika tunaweza fika fainali.
Ilibaki kidogo Ghana ashinde mechi kwa 2-1 mabao yaliyofunga na A. Ayew 54', A. Gyan 63' huku lile la Germany likifungwa na gotze 51' ila baada ya wa Germany kuona mambo yamewabana ndipo wakamuingiza mkongwe Klose aliye sawazisha dakika ya 71 na kufanya matokeo kuwa 2-2.
Kwa matokeo hayo tuombe kesho Ureno ashinde dhidi ya USA alafu mechi ya Mwisho Ghana ashinde na Germany ashinde ndo kuna uwezekana wa Ghana kupita.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment