Tuesday, June 24, 2014

Italy imetolewa na Uruguay: FT Italy 0-1 Uruguay, Suarezi amng'ata Meno tena Beki wa Italy Giorgio Chiellini.

Pamoja na Italy kujitaidi kucheza vizuri lakini wameondlewa na Uruguay kwa goli 1 kwa 0 katika mechi ambayo Italy walikuwa wakicheza pungufu baada ya kadi nyekundu ya Marchisio.

Lakini hiyo haitoshi kwani katika kipindi cha lala salama mshambuliaj wa Uruguay Luis Suarez ameonekana akimng'ata  meno beki wa Italy Chiellini lakini refa hakuona tukio hilo lakini kamera zilivyorudia ilionekana ni kweli.

Sasa tusubiri FIFA watasema nn manake ni mara ya tatu sasa anafanya tabia hiyo yaani.
yaani 2010 akiichezea Ajax ,  Suarez alimng'ata Otman Bakkal's begani na alipewa adhabu ya kutocheza mechi 7, vile vile alipewa adhabu ya kutocheza mechi 10-game baada ya kumfanyia hivyo mlinzi wa Chelsea  Branislav Ivanovic kwenye  Premier League game in April 2013.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top