Monday, June 16, 2014

Hii ndio zawadi ya Baloteli kwa demu wake Neguesha.

Baloteli nasema anamtunuku future wife wake goli hilo na wapenzi wote wa Italy.
Goli hilo aambalo alilipiga katika dakika ya 50 liliwawezesha Italy kuibuka washindi kwa England licha England kujipanga sana kwamba waonyeshe kiwango katika kombe la Dunia la safari hii.

Usikose baadae nitakuletea LIVE commentator ya mechi za Leo.



Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top