Wednesday, June 18, 2014

Basi la New Force lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Mbeya limepata Ajali maeneo ya Igurusi na kuua wawili.

Basi la New Force Muda muda mchache baada ya kupata Ajali


Taarifa zilizotufikia Muda huu kutoka Igurusi zinasema Basi la New Force lililokuwa likitoka Dar es salaam kuja Mbeya limepata Ajali Mbaya eneo la Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili hapo hapo walikuwa wakitembea kwa miguu na kujeruhi wengine Arobaini ambao wanakimbizwa Hospitali sasa na kusaidiwa, Taarifa kamili na picha zinakuja endelea kufuatilia Hapa hapa
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top