Wednesday, June 18, 2014

Arjen Robben na Robin van Persie kama kawa wametupia tena. FT AUSTRALIA 2-3 NETHERLANDS.

Mechi ilikuwa kali lakini imekiwa kwa Netherland kuibuka mshindi.

Timu ya Taifa ya Uholanzi yaani Netherlands wamedhidi kujiweka pazuri kwa ushindi wa 3-2 dhidi ya Australia ili kumaliza wa kwanza kama sehemu muhimu ili wamwachie spain amalize wa pili kwa vile mshindi wa pili kwenye kundi lao atapambana na Brazili yaani anayetarajiwa kutoka Mshindi wa kwanza kundi A.

Magoli ya Uholanzi yamefungwa na     A. Robben 20',R. van Persie 58',na M. Depay 68' wakati yale ya Australia yamefungwa na     T. Cahill 21',na M. Jedinak 54'.


Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu

 HABARI ZAIDI NA MATOKEOMENGINE BOFYA HAPA

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top