Sunday, June 15, 2014

Baloteli aing'arisha italia FULL TIME ITALY 2-1 ENGLAND.

Licha ya kuwa na mastaa wengi wa EPL timu ya Taifa ya England imeweza kuthibitiwa vizuri na mkongwe Andre Pirlo kiasi cha kushinda kupenya na kuruhusu Italy wakae na mpira mda mrefu jambo lililowasaidia kuibuka na Ushindi.

Katika kundi lao Uruguay naye amefungwa na Costa Rica kwa magoli 3-1. Hivyo mechi zijazo ni ngumu kwa wote kwani hamna kibonde katika grupu lao.

Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utaj

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top