Thursday, May 1, 2014
Browse » Home »
Michezo
» The Specia one aambuliwa na Atletico Madrid uwanjani kwake sasa kakosa vyote yaani uefa na EPL.
The Specia one aambuliwa na Atletico Madrid uwanjani kwake sasa kakosa vyote yaani uefa na EPL.
Tabia ya kocha wa Chelsea kucheza mpira wa Kupaki na kufanya mashambulizi ya kushitukiza yaani "Anti' football"imeshindwa kufua dafu Jana baada ya vijana wa Atletico Madrid kulishambulia lango la Chelsea kama Mbwa mwitu na kufanikiwa kuzamishwa magoli 3 kwa 1.
Ilikuwa katika dakika ya 36′ Fernando Torres alipachika bao la kwanza kwa Chelsea na kumfanya kocha wao Jose Mourinho kuanza kuwaamasisha wachezaji wapaki benk akizani mambo yatakuwa kama kwa Liverpool.
Baada ya Atletico kumgundua kaanza mchezo huo usiokubalika hata na Sepp Blatter basi hawakuwa na la kupoteza il kucheza kwa mashambulizi ya haraka na kasi kubwa kama mbwa mwitu aliye na njaa kali wanavyoshambulia jambo lililowazesha kupata mabao matatu kupitia kwa Adrián 44'
Diego Costa 60' (PG),Arda Turan 72' .
Kwa matokeo hayo Chelsea watakosa Makombe yote msimu huu yaani UEFA na lile la ligi kuu England EPL licha ya kumwaribia Liverpool harakati hizo.
Kucheki Video za magoli Bofya hapa
Fainali UEFA sasa ni kati Atletico Madrid VS Real Madrid.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment